HARD PRICE COMING SOON
Samahanini
sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa kipindi
kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisingependa kuja kwenu na mikono mitupu.. Naomba ujipatie mzigo wako wa
nguvu wa Hard Price
ambao sasa upo madukani..Ndani ya Filamu hii nimejalibu kuchanganya
radha tofauti nawaombeni sana wadau wangu tusaau yaliyopita jamani
The greatest nikiwa na Jack Wolper on set..
Salim Ahmed(Gabo) akiwa anapitia script ili kuakikisha mambo yanakwenda sawa....
Kazi zikiendelea...
Nikiakikisha mambo yanakwenda sawa...
On set...
No comments:
Post a Comment