UTAMADUNI

1
MATAMASHA YA UTAMADUNI
1.0 Utangulizi:
Tamasha ni utaratibu wa kufany
a jambo lenye shughuli nyingi kwa
pamoja au zinazofuatana kwa karibu. Shug
huli hizo zinaweza kuwa za aina moja
au fani moja peke yake, kama vile ngom
a, muziki, tamthilia, mashairi, vitabu,
sanaa za ufundi au michezo. Aidha tama
sha linaweza kuwa la mchanganyiko wa
fani mbili au zaidi kwa pamoja. Sifa
nyingine muhimu ya tamasha ni kwa
shughuli kufanyika katika muda mfupi na
mfululizo – saa chache siku chache au
wiki chache. Sifa ya tatu muhimu ni kwa shughuli za tamasha kufanyika sehemu
moja au sehemu kadhaa zilizo karibu ka
ribu kuwezesha washir
iki – watendaji na
watazamaji - kutembelea maeneo yote husika katika muda wa tamasha zima.
Inasisitizwa kuwa fani zinazoshirikishwa
katika tamasha ziwe zenye ubora wa juu
na kila inapowezekana baadhi yake zit
okane na wabunifu au mapendekezo ya
wahakiki na wahifadhi mahiri na maarufu katika jamii au nchi. Aidha utaratibu
wa mashindano huweza kuandaliwa katika
sehemu na ngazi mbalimbali ili kupata
fani bora za kushirikishwa katika tamasha.
2.0 Madhumuni ya Matamasha:
Kwa mujibu wa dhana na mpangilio
wa shughuli, tamasha huwa na mvuto
wa hali ya juu na kishindo kikubwa kati
ka jamii. Kwa sababu hiyo matamasha
yanasaidia sana katika:-
2.1
Utambulisho:
Utambulisho ni kitu muhimu kwa binadamu. Wakati wote binadamu
hufanya jitihada ya kujitambua yeye
mwenyewe na kubainisha wenzake.
Utamaduni ni moja ya nguzo muhimu za utambulisho wa mtu.
Matamasha hutoa fursa kwa mtu bina
fsi na jamii kwa jumla kujua na
kukumbuka wao ni nani – kama jamii,
kama taifa – na kuendelea kuishi au
kufanya mambo kwa kuzingatia jamii
au taifa lake.
Kwa upande mmoja

No comments:

Post a Comment